
Tanzanian sweetheart au madame Wema Sepetu amekamata headlines tena katika social media na vyombo vya habari sasa hivi ikiwa juu ya ujauzito wake ambapo jana kulikua na tetesi kwamba mimba hiyo imetoka na madam kupitia account yake ya instagram kacheka na kaandika "it all began with a smile" kama akiicheka hiyo taarifa lakini leo kupitia u heard ya gossip cop bwana soud brown limezuka jipya kwamba swala la mimba ulikua ni mpango na kuna NGO (taasisi isiyo ya kiserikali) inayohusika na miscarriage ndo iko nyuma ya mpango huo
Malengo universe tunamuombea mema miss Tanzania 2006,na kuhusu nini kitafata acha muda useme.
Gossip cop;soudy brown
0 comments:
Post a Comment