TIMU YA SUNDERLAND YAMUACHA ADAM JOHNSON
Mshambuliaji mahiri wa timu ya sunderland ya uingereza na timu ya taifa ya nchin hiyo Adam Johnson ameachwa na klabu yake baada ya kuvunjiwa mkataba kutokana na kukiri mahakamani kwamba alikua na mahusiano na binti mwenye miaka 15 ingawa alikanusha kwamba alifanya nae ngono.
kashfa hiyo imewakimbikiza kampuni ya adidas iliokua ikimdhamini mchezaji huyo na pia timu yake kuvunja nae mkataba hivo anasubiri hukumuya mahakama na uwezekano wa kufungwa ni mkubwa.
kashfa hiyo imewakimbikiza kampuni ya adidas iliokua ikimdhamini mchezaji huyo na pia timu yake kuvunja nae mkataba hivo anasubiri hukumuya mahakama na uwezekano wa kufungwa ni mkubwa.
0 comments:
Post a Comment