TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Wednesday, 10 February 2016

0

LIVERPOOL YATOLEWA FA CUP

Wingu la matokeo mabaya limezidi kuiandama timu ya liverpool chini ya Jurgen klopp baada ya kutolewa kwenye kombe la FA na timu ya Westham kwa mabao 2-1 katika muda wa nyongeza dakika ya 120 ambayo imewafanya Liverpool wanyonge wao na kuwafunga mara ya tatu ndani ya msimu mmoja
mabao ya west ham yalifungwa na M
ichail Antonio na Angelo Ogbona wakati lile la Liverpool lilifungwa na Philipe Coutinho

0 comments: