TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 9 February 2016

0

NGOMA MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ WIKI HII

Raisi wa wasafi kupitia akaunti yake ya twitter ameweka wazi kuhusu ngoma mpya inatoka wiki hii na kukiwa na dalili kwamba ngoma aliyofanya na A.K.A ndo itafuata.Usikae mbali na TV yako.

0 comments: