TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 9 February 2016

0

CHELSEA KUMKOSA KURT ZOUMA KWA MIEZI SITA

Beki kisiki wa timu ya chelsea ambae alipata majeraha ya goti baada ya kutua vibaya kwenye mechi ya manchester united,Kurt Zouma atakaa nje ya uwanja kwa miezi sita kuuguza jeraha la mguu wake.

0 comments: