
Kiungo matata wa timu ya Southampton ya uingereza ambae pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Kenya Victor Wanyama amefungiwa mechi tano na chama cha mpira cha uingereza FA baada ya kupewa kadi ya tatu nyekundu ndani ya msimu huu kwenye mechi dhidi ya Westham baada ya kumchezea rafu mbaya Dimitry Payet na kupe
lekea kocha wake Ronald Koeman kuja juu na kusema atafanya naye mazungumzo.
0 comments:
Post a Comment