TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 6 February 2016

0

MEEK MILL ANUSURIKA KUTUPWA JELA

Rapa Meek Mill amenusurika kwenda jela badala yake kapewa miezi mitatu ndani ya nyumba na akimaliza atakua na miaka sita ya uangalizi.Meek Mill aliingia matatizoni baada ya kwenda kinyume na taratibu za uangalizi

0 comments: