DIDDY AHUSISHA NA MAUAJI YA 2-PAC
Ikiwa imeshapita miaka ishirini tangu mkali wa hip hop 2-pac auawe nchini marekani askari aliekua akiifuatilia kesi hiyo Greg Kading ametoa documentary ikisema boss wa bad boy na dirty money,Diddy ndio alikodi muuaji kutoka genge la uhalifu la Crips gang aitwae Duane Keith “Keffe D” Davis kutekeleza mauaji hayo,pia akienda mbali na kumtaja Suge knight kuwa alikodi genge la Bloods gang kumuua Notorius B.I.G kama kisasi.
0 comments:
Post a Comment