TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 6 February 2016

0

TETESI ZA MOURINHO KUJIUNGA MANCHESTER UNITED ZAZIDI KUSHIKA KASI

Tetesi za kocha mtukutu Jose Mourinho kuingia Manchester united zimezid kushika kasi huku baadhi ya vyombo vya habari nchini Hispania vikienda mbali zaidi na kusema Mourinho keshasaini mkataba na Red devils na atachukua nafasi wakati wowote baada ya kutimuliwa kocha wa sasa Louis Van Gaal.

0 comments: