MESSI AENDELEZA MIUJIZA BARCA IKIUA 6-1
Mchezaji bora wa dunia kwa mara ya tano,Lionel Messi ameendeleza miujiza na kuonyesha sababu kwa nini yeye ni mchezaji bora kwa sasa baada ya kuisaidia timu yake kuizamisha celta vigon kwa mabao 6-1 na pia kumsaidia mchezaji mwenzake Luis Suarez kufunga nmabao matatu yaani hat trick.Gumzo katika mchezo huo ilikua pale Messi aliopewa nafasiya kupiga penalty na akapiga penalty fupi kama pasi kwa Suarez ambaen bila ajizi aliuweka mpira kimiani
0 comments:
Post a Comment