LIVERPOOL YAFUFUKA,ARSENAL WARUDISHA MATUMAINI YA UBINGWA
Majogoo wa jiji liverpool jana waliamka na kuisindilia Aston villa jumla ya magoli 6-0 katika mchezo uliopigwa dimba la Villa park na mabao9 yakifungwa na Narhaniel clyne,Emrecan,Divock origi,Daniel sturridge,Kolo Toure na James milner na katika mechi nyingine Arsenal walipata ushindiwa mabao 2-1 dhidi ya timu kisiki ya Leicister ambao walicheza pungufu baada ya mchezaji wao Danny simpson kutolewa nje kwa kadi nyekeundu na hivo kuamsha matumaini ya kuchukua ubingwa wakiwa nafasi ya tatu pointi 2 pungufu dhindi ya viongozi wa ligi Leicester.
0 comments:
Post a Comment