TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Sunday, 14 February 2016

0

SHAMSA FORD AMCHANA NAY WA MITEGO,AKANUSHA KURUDIANA NAYE

Nyota wa filamu za kibongo Shamsa Ford amemchana Nay wa mitego na kukanusha kurudiana naye akimwambia aache kujipa kiki kwa kutumia jina lake na hiyo ilikuja baada ya mr.True boy kumpost Shamsa katika page yake ya instagram na kuandika "happy valentine" na kuitioa muda mfupi baada ya majibu ya Shamsa Ford


0 comments: