PEP GUARDIOLA SASA RASMI MANCHESTER CITY
Timu ya manchester city ya England imetoa tamko rasmi kua kocha wa zamani wa Barcelona na Buyern munich Josep Pep Guardiola atajiunga nao mwisho wa msimu huu.Pep aliefundisha kwa mafanikio makubwa alikotoka anatazamiwa kuongeza kwa kiwango kikubwa mvuto wa ligi hiyo inayotajwa kua bora zaidi ulimwenguni na wakati hayo yakitokea kocha wa sasa Manuel Pellegrin ametumia mkutano wa waandishi kuaga akisema huu ni msimu wa mwisho kwake klabuni hapo.
0 comments:
Post a Comment