TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Monday, 1 February 2016

0

ZIGO REMIX YA AY NA DIAMOND YAFIKISHA VIEWS MILLION MOJA NA LAKI MBILI NDANI YA WIKI MOJA



Moto unawaka,naamini ndo neno fupi kwa spidi ya kutazamwa iliyonayo video ya zigo remix iliyofanywa na nyota wawili wa ki Tanzania AY pamoja na Diamond platnumz ikifikisha watazamaji 1,241,994 mpaka jioni ya leo ikiwa na wiki moja tu toka ilipoachiwa rasmi Hongera sana mzee wa commercial.

0 comments: