TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 20 February 2016

0

YANGA YAICHINJA SIMBA UWANJA WA TAIFA

Maneno na majigambo yamekwisha baada ya timu ya Yanga kuwafunga wapinzani wao wa jadi Simba kwa jumla ya mabao 2-0 mabao ya yanga yakifungwa na Donald ngoma pamoja na mchezaji wa
zamani wa simba Amissi Tambwe.

0 comments: