
Raisi wa Uganda Yoweri kaguta Museveni ametetea kiti chake na kuwa raisi wa nchi hiyo kwa awamu nyingine na kumshinda mpinzani wake mkuu Bwana Kiza besigye aliyeshika nafasi ya pili kwa kupata asilimia 35.3% wakatibwana Museven akipataasilimia 60.7% ya kura zote katika uchaguzi ambao uligubikwa na sintofahamu nyingi wapinzani wakilalamika haukua huru na haki.
0 comments:
Post a Comment