-
Kuitangaza biashara yako kunaipa nafasi nzuri zaidi ya kukua haraka na kuongeza network yako kibiashara.
-
Sikiliza na download Muziki mpya na tazama video za kiwango cha juu kupitia blog hii.
-
Pata ratiba na matokeo ya michezo yote inayopendwa kutoka popote duniani.
-
Tujifunze,tujadili na kuelimishana kwa pamoja
-
Our home of excellency.
Next
Previous
Monday 18 July 2016
Sunday 17 July 2016
Friday 15 July 2016
Tuesday 12 July 2016
Monday 11 July 2016
Saturday 9 July 2016
Tuesday 5 July 2016
Friday 1 July 2016
Sunday 19 June 2016
Sunday 12 June 2016
Friday 27 May 2016
JOSE MOURINHO KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED
Kocha "msema hovyo" Jose Mourinho ameteuliwa kuwa kocha mpya wa mashetani wekundu akiacha mabishano mengi kati ya wadau tofauti tofauti watimu hiyo wengine wakimsapoti kwamba ataweza kurudisha hadhi ya timu hiyo wakati wengi wakimpinga kutokana na falsafa zake za kujilinda hivyo kuharibu soka la kuvutia la timu hiyo
uteuzi wa Mourinho unaongeza utamu wa vita ya msimu ujao kati ya makocha bora waliojiunga na timu mbali mbali za ligi ya uingereza wakiwemo Pep Guardiola (Manchester city),Jurgen Klopp (Liverpool) na Antonio Conte (Chelsea).
uteuzi wa Mourinho unaongeza utamu wa vita ya msimu ujao kati ya makocha bora waliojiunga na timu mbali mbali za ligi ya uingereza wakiwemo Pep Guardiola (Manchester city),Jurgen Klopp (Liverpool) na Antonio Conte (Chelsea).
Wednesday 25 May 2016
Saturday 21 May 2016
HII NI VITAAAAAAAAA
Upinzani wa Nisher na Hanscana sasa unachukua sura mpya baada ya wimbo wa Arosto wa G nako kuachiwa rasmi na mmiliki wake ukiwa na video mpya iliyofanywa na Hanscana na pia kukiwa na video ya awali ambayo ilifanywa na director Nisher,zote zipo hapa zitazame na utoe majibu ipi kali
hii ya Hanscana
hii hapa ya Nisher
hii hapa ya Nisher
Thursday 19 May 2016
Friday 13 May 2016
Tuesday 10 May 2016
Monday 9 May 2016
Sunday 8 May 2016
Friday 6 May 2016
Thursday 5 May 2016
Monday 2 May 2016
LEICESTER CITY BINGWA UINGEREZA
Matokeo ya sare ya 2-2 kwenye mechi baina ya Chelsea na Totenham hotspurs yamekua ya faida kubwa na kutengeneza historia ya ajabu katika soka la Uingereza baada ya Leicester City kuwa bingwa ikiwa ni msimu wa pili tu toka ipande daraja.Hongera sana Leicester.
Tuesday 26 April 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
- NEW AUDIO:BRYSON KIVULI-NISAMEHE
- NEW MUSIC:SHAZY MELODY-YOTE SAWA
- NEW VIDEO:B2K-DIMAYA
- New video:JOH MAKINI FEAT CHIDINMA-PERFECT COMBO
- New audio:G NAKO FEAT CHINBEES &NIKKI WA PILI
- New video:ROMA FEAT JOS MTAMBO & DARASSA-KAA TAYARI
- New video:CALVIN HARRIS FEAT RIHANNA-THIS IS WHAT YOU COME FOR
- New video:BEN POL-MOYO MASHINE
- New music:CHIDY BEENZ FEAT RAYMOND-CHUMA
- New video:BRYSON TILLER-EXCHANGE
Malengo Universe
The home of excellency
Recent posts
recent posts
;